WORK AT MSHINDI AND ENJOYING A NICE VIEW HAS NEVER HURT NOBODY!!!

I passed by MSHINDI the magazine that I write the column for and had a brief meeting and after we went to grab some early light dinner at Capetown Fish Market and while i enjoyed my steak OTHERS had a hamburger and a shrimp sallad.After I went to see My Dad and we had dinner and a nice chat.We did however encounter some heavy rain during the evening.Cape Town Fishmarket is a lovely place located in msasani and i highly recommend it if you ever intown.

Nilipita ofisini kwenye gazeti ambalo naliandikia makala na kudiscuss kazi.Tulivyomaliza tukaenda kula Cape Town

CapeTown Fishmarket Ipo Msasani na wana bei nzuri kwenye sekta ya cocktails lakini bei mbaya kwenye vinywaji vingine.Hawaruhusiwi kuuza Konyagi so ukitaka konyagi utaipata ila utailipia hela nyingi sana hicho tulijifunza ikabidi tucheke tu,since Capetown ni a chain kwahiyo bidhaa za kote lazima zifanane.Bei za chakula sio juu sana ila sio chini pia so hii sio sehemu ya kwenda na elfu ishirini tu labda kama uko peke yako.All in all ni sehem nzuri,wasafi na service yao ni nzuri sema tu parking wanatakiwa waipanue.

What do you think of this post?
  • Awesome (3)
  • Interesting (2)
  • Useful (0)