WHO SAID YOU CAN!T…,

What do you think of this post?
  • Awesome (3)
  • Interesting (2)
  • Useful (0)
HELOOOW KYU-KYUUUUUU..,
THANK YOU FOR INVITING ME WINNIE,YOUR HOUSE IS JUST BEAUTIFUL AND ITS NOT EVEN DONE YET.WHEN A FELLOW WOMAN SHOWS ME THEIR PROGRESS AND HARD WORK I FEEL PROUD.YOU DID THAT GIRL!
ASANTE KWA MUALIKO WINNIE NA MTU AKIKUONYESHA JUHUDI ZAKE UNAPASWA KUMPA HONGERA ZAKE, NA WINNIE KAJITAHIDI SANA NA IKIMALIZIKA ITAZIDI KUPENDEZA.NI MWANAMKE NA KAFANYA KWA JASHO LAKE..,
NCHI YETU KUNA UMUHIMU WA KUANZA KUONGELEA WANAWAKE WANAOTAFUTA KWA MIKONO YAO NA JASHO LAO NA SIO KUTWA KUWASIFIA WALIOWEZESHWA KWA NJIA WANAZOZIJUA WAO.IMEFIKA A POINT MPAKA WANAUME HIYO NCHI WANAJIONA HAMUWEZI BILA WAO NA NA KUWADHARAU KUWA MNACHOWAPENDEA WAO NI HELA TU,SAD.
OUR GIRLS NEEDS ROLEMODELS SIO WABADILISHA WANAUME KILA KUKICHA BALI WANAWAKE WITH REAL SUBSTANCE,NIMEMALIZA.COM!
What do you think of this post?
  • Awesome (3)
  • Interesting (2)
  • Useful (0)

2 thoughts on “WHO SAID YOU CAN!T…,

  1. Nywele nzuri, hongerah Winnie hakika tunaweza…. Hao wanaume wa hiyo nchi siwataki mimi mtchweee wanajionaga Miungu watu kha??? Ila hiyo nguvu ya dharau wapewa na hao wabadilisha mabwana kila kukicha. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *