THE RETURN ON 27TH WAS LIIIIT,LEGOOO!!

What do you think of this post?
  • Awesome (2)
  • Interesting (2)
  • Useful (2)
THE VIBE STARTED AT HOME,WOYOOOOOOO!!!
LOOK WHO WE RAN INTO,MR CHOCOLATE FLEVAAAAAAA!!!
THE RETURN IS LOCATED IN MWENGE BEHIND CALABASH.,
AND DJ OMMY CRAYZZZ IS THE MAN BEHIND THE SHOW AND THE WHOLE CONCEPT,GIVE IT A TRY I THINK FRIDAYS ARE THE LITEST EVER THERE.

THE RETURN IKO NYUMA YA PUB MOJA INAYOITWA CALABASH NA IJUMAA NDIO HUWA PAZURI KWENDA PANAHAPPEN KINOMA.DJ OMMY CRAYZZ NDIO BABA LA SHOW HII NA CLUB IKO NJE TU NI KAMA MTAA UMECHUKULIWA NA KUFANYWA A CLUB NA WANAFUNGA SAA MBILI ASUBUHI,USHINDWE WEWE TUUU!!!

What do you think of this post?
  • Awesome (2)
  • Interesting (2)
  • Useful (2)

3 thoughts on “THE RETURN ON 27TH WAS LIIIIT,LEGOOO!!

  1. Basi sawa kama woote wanywaji coca hutokosa wa kuku-motivate wakati wa kukata sukari ukifika πŸ‘ŒπŸ½ na usisahau i’ll be your cheerleader all the way.

  2. Coca kama zoteee SHOGAREEEEE mbona diet itatuhusu tukirudi uku ? Oups!. Mpaka panakucha mwee nyumbani ni nyumbani hapafanishwi na kwingineko aisee. Nafurahi kuwaona mlikuwa na furaha siku hiyo na siku nyinginewe kwani ni kawaida kwenu happy and beautiful peopleπŸ”₯❀

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *