THE BIG REVEAL,A HOME THAT I DECORATED!!

What do you think of this post?
  • Awesome (10)
  • Interesting (6)
  • Useful (1)
IT IS A TWO BEDROOM APARTMENT AND HE HAS TWO KIDS SO THE BEDROOM IS FOR THE GIRLS.,
WE WENT VERY MINIMALISTIC SINCE HE DOES NOT LIKE ALOT OF CLUTTER OR THINGS.
THERE IS STILL SOME DETAILS LIKE PAINTINGS,ART OR MIRRORS ON THE WALL TO FILL UP THE PLACE.I DID NOT TAKE PHOTOS OF THE BATHROOM SINCE SOME THINGS MUST BE KEPT PRIVATE,AFTER ALL IT IS HIS HOME.
COLOUR PALETTE WAS GREY AND WHITE JUST AS HIS HOME.
THE DAY BED IS TO DIE FOR,I LÖVE IT.
EVERY PEACE YOU SEE IN THIS HOME I SEARCHED FOR IT PERSONALLY ONLINE AND IN THE SHOPS, AND HANDPICKED BUT HE HAD TO APPROVE IT FIRST WHEN I SENT HIM THE SAMPLES AND PICTURES BEFORE HAND.I LEARNED ALOT DURING THIS PROCESS AND I WOULD DO IT AGAIN AND AGAIN.,
CREATING A HOME FOR SOMEBODY IS VERY REWARDING.

NI MWANAUME AMBAYE ANAISHI NA WATOTO WAKE WAWILI WAKIKE SO CHUMBA NI KWAAJILI YA WASICHANA NA NIMEKIPANGILIA KWAAJILI YA MAHITAJI YAO.NI APPARTMENT YA VYUMBA VIWILI NA MWENYEWE HAKUTAKA NIJAZE MAKOROKORO MENGI KWAVILE ANAPENDA MINIMALISM NA PIA KUWEZA KUMANTAIN SEHEMU YAKE.RANGI TULOTUMIA NI KIJIVU NA NYEUPE SO TUMETAFUTA DIFFERENT SHADE ZA KIJIVU KWENYE FURNITURES.KILA PEACE HUMU NDANI NIMEITAFUTA ONLINE NA MADUKANI MWENYEWE YEYE KAZI YAKE ILIKUWA TU KUSEMA YES AU NO NIKIMTUMIA SAMPLES NA PICHA ZA VITU NA NIMEJIFUNZA MENGI KUPITIA HII KAZI
NA HAKUNA KITU KIZURI KAMA KUMTENGENEZEA MTU SEHEMU ATAKOYOIITA NYUMBANI.
What do you think of this post?
  • Awesome (10)
  • Interesting (6)
  • Useful (1)

3 thoughts on “THE BIG REVEAL,A HOME THAT I DECORATED!!

  1. Kutoka sakafu ya moyo wangu natoa sifa kwako unajua kupamba kwa utaalam wa hali ya juu yaani viwango kama vyotee… Asante kwa kugawana na sisi sehemu hii ya kitu upendacho kufanya mbali na taaluma yako ya siku zote. Nimependa na ipo siku Mungu akipenda labda utakuja kwangu pia na utakuwa na green light ya kuchagua na kupamba mimi nitahitaji kuona kazi ilokamilika tu na ndivyo ninavyokuamini 👏🏽👏🏽👏🏽

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *