YALIYOJIRI!!!

Leyla sikujui sala hatujawaphi kuonana ila kilo chako kimeniuma sana na mnaoandika mitandaoni kumjustify huyo kaka kwa kitendo cha kuuwa ipo siku Mungu awasamehe kwani hamjui mlitendalo.Upumzike salama na pliz wanawake ifike mda mkatae hii tabia ya kudundwa kwani mama zenu hawakukuleteni hapa duniani ili muwe somebodys punching bag. What do you think of this post?Awesome (2)Interesting (0)Useful (0)

What do you think of this post?
  • Awesome (2)
  • Interesting (0)
  • Useful (0)

M CRUZ JIBU KUNTUUU SANA.,UNAULIZA WANAWAKE KUWA NA UMOJA WAKATI MWENZAKO KATEKELEZWA NA MIMBA JUU! SO ASLAY TOUR YAKE YOTE YA EUROPE IMEKUWA CANCELLED NA PROMOTER!S KUINGIA HASARA KITU AMBACHO KINANIPA SHIDA KUELEWA NI KWANINI ANAFANYA HIVI NA KUJIHARIBIA KAMA MSANII.. TUNAFURAHI KUWA ABDUL KAPATIKANA NA WASIOJULIKANA! What do you think of this post?Awesome (1)Interesting (0)Useful (0)

What do you think of this post?
  • Awesome (1)
  • Interesting (0)
  • Useful (0)

YALIYOJIRI!!!

Unajua mimi huwa mara nyingi naongelea kitu kiitwacho MUDA na huwa napenda kusema MUDA hutuonyesha na kutufunza mengi.Mzee Evarist wakati wa uchaguzi ulimsema sana na kumuongelea Edward Lowasa and in a way hukutaka wapa watu somo ili waweze kufanya maamuzi whether unakubaliana nao au hapana.OH Dear Karma,Inafika mda kitu kinatokea na unaanza elewa what it is like kuchukiwa na trust… More →

What do you think of this post?
  • Awesome (3)
  • Interesting (1)
  • Useful (1)