MI CASA!!!

The table is custom made from a palmtree/Meza hii nimeitengenezesha na mbao kutoka kwenye Mnazi.Mezani My Sponsor The Nordic Vodka.         Since am an interior lover at heart and I like to post different homes and decor it was only fair that I do the same with my own home.I like clean lines,not alot of stuffs but… More →

What do you think of this post?
  • Awesome (11)
  • Useful (6)
  • Interesting (4)

STUDIO APPARTMENT IDEAS FOR HOW TO DECORATE!!

Kuna wengi wenu mmepanga chumbakimoja au chumba na sebule na kama mnavyoona hizi ni One room appartments na hapa unapata idea ya kupanga chumba chako maana ukiwa na a small space lazma uwe makini ili usikifanye chumba kionekane kidogo zaidi, au kuwa kimejazwa vitu kwa sana.Wenzetu ni hodari wa kutumia space nadhani because hawana utamaduni wa kumiliki maviwanja makubwa so… More →

What do you think of this post?
  • Useful (6)
  • Interesting (1)
  • Awesome (0)