SASA HIKI NI NINI..,

What do you think of this post?
  • Useful (1)
  • Awesome (0)
  • Interesting (0)
HUYU ALIENDA USIKU BAADA YA WATU KUJERUHIWA NA KUFARIKI KUTOKANA NA MOTO WA HILI GARI.SASA KINGETOKEA KITU TUNATAKIWA KUMSIKITIKIA KWELI?
NIMEONA NENO NEEMA OOOH WALIONA NEEMA NDIOMAANA WALIENDA KUCHOTA,HATARI MNAIITA NEEMA?
SOMETIMES MJALI MAISHA YENU ZAIDI KULIKO NEEMA ZISIZO NA BARAKA..,
What do you think of this post?
  • Useful (1)
  • Awesome (0)
  • Interesting (0)

One thought on “SASA HIKI NI NINI..,

  1. Awe identified na apewe adhabu inayostahiki kwa mujibu wa sheria ili iwe funzo kwa wenzie na sidhani kwamba hili litawashinda wahusika maana teknolojia iliyopo kwa sasa inarahisisha kazi.  Nimechoka kuvunjika moyo kwa majanga anayojivutia mtanzania mwenzangu na uku yanaweza kuzuilika kwa asilimia 100. Mkiona ajali ya moto msisogelee eneo lenye tukio hata nusu atua maana sio maonyesho ya 7/7 au 8/8 hakikisheni mnaweka watoto mbali sehemu yenye usalama na mpigie mamlaka usika simu waje watoe huduma za kitaalam ziliobobea alafu hizo simu zenu ni mabomu ya mlipuko zitumikapo sehemu yenye joto au moto mkubwana mkali na pia petrol station mkienda jaza mafuta gari zenu mzimage engen na simu zenu… najua alama za maelekezo zimewekwa kila kona ila daharau zenu ndo umauti usiotarajika na pia niwaambie kitu Mungu kachoka kulaumiwa na kusingiziwa kazi na maamuzi yasiyo yake tumpumzisheni jamani kha???

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *