Rest Well Martha..,

What do you think of this post?
 • Awesome (0)
 • Interesting (0)
 • Useful (0)
VIJANA WANAONDOKA SANA TANZANIA HIKI KITU LAZIMA KICHUNGUZWE.WAZAZI WANAZIKA SANA WATOTO WAO,RIP MARTHA.
What do you think of this post?
 • Awesome (0)
 • Interesting (0)
 • Useful (0)

3 thoughts on “Rest Well Martha..,

 1. Nawe umeliona hili shogareeee nashukuru maana nilijuwa hisia zinanidanganya ila sasa nina ahueni. Wazazi wamewaachia sana uhuru watoto wao na hivi nd’o waleaji wa familia hata kuulizwa kitu wanaogopwa unategemea nini kama si mwisho mbaya?

  1. HIVI VIFYO VYA GHAFLA SI KWELI KUNA JANGA SEMA HALITAKI KUONGELEWA..,
   HAIWEZEKANI WATU WAFE NA MALARIA KWANZA HUU SIO HATA MSIMU WA MALARIA NA MALARIA IMEPUNGUA SS HIVI TZ
   WAMAMA WANAKUFA BAADA YA KUZAA SERIKALI KIMYA,VIJANA WANAKUFA NA MENGI VIFUANI MWAO NA SOCIETY YETU IMEZIDI MIDOMO MPAKA MAGONJWA YANAFANYWA SIRI WAKATI KWENYE KUONGELEA UGONJWA NDIO WENGI HUPONA NA KUEPUSHWA NA USHIRIKINA AHH NDIO JANGA KUBWA SANA HIYO NCHI SASA HIVI NA MAJUMBA YA DINI YANAZIDI LAKIN WAPI WATU WANAMUABUDU SHETN KULIKO MUNGU,AISEE IT IS SAD…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *