PANAITWA JULIANA!S…,

What do you think of this post?
  • Awesome (6)
  • Interesting (2)
  • Useful (2)
NJAA MBAYAAAA HAHAHAHAH.,
I WAS SOOOO HUNGRY
THEIR TOILET IS SOOO WELL DESIGNED AND CLEAN I REALLY LIKED IT..,
YAANI BONGO HAMNA KITU KINABOA KAMA VYOO VICHAFU NA ESPECIALLY VYOO VYA WANAWAKE SIJUI KWANINI..,
UNAENDA SEHEMU NZURI ILA VYOO UNAWEZA KULIA SO I WAS VERY PLEASED KUONA VYOO VYAO NI VISAFI NA VIZURI,THE END..,
What do you think of this post?
  • Awesome (6)
  • Interesting (2)
  • Useful (2)

5 thoughts on “PANAITWA JULIANA!S…,

  1. Unajuaga kunitoa mateΒ  na misosi hiyo wako vizuri unaingia chooni hadi raha unafanya mambo taratiibu mazingira mazuri kwakweli

  2. Siongei tena maana hii inaitwa sulubu kha? Uyo Juliana’s kajua kuntesaaa… vyoo point muhimu sana mbona umegonga ikulu SHOGAREEEEE πŸ™πŸ½πŸ‘πŸΎπŸ‘ŒπŸ½

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *