GOD IS GOOD,ALL THE TIME!!!

HuYu baba amekuwa akiifanyia kazi kampuni na mwisho wa siku akapata Cancer.Alichofanya ni kuipeleka kampuni Monsato mahakamani na kushinda kesi na anatarajia kulipwa Millioni 289USD kwavile Ameathirika sana na Saratani.Ugonjwa wake umefikia hatu za mwisho kwahivyo hataweza kutibiwa wala kupona.Kwenye Kazi yake amekuwa akideal na chemichal na ndio kitu anahisi na chanzo ambacho kilimfanya aumwe.

Hongera zake na amelia sana kwani kafurahi atleast watoto wake wataweza kuishi hata yeye pale atakapofariki ila kiuchumi watakuwa sawa.Mungu amsimamie katika maisha yake kwan hajabakiza mda mrefu sana ila namuombea maisha marefu.

What do you think of this post?
  • Awesome (6)
  • Interesting (2)
  • Useful (2)