MAMA KANUMBA NAKUPONGEZA KWAKUWA BADO UMESIMAMA IMARA DESPITE MITIHANI..,

What do you think of this post?
  • Awesome (5)
  • Interesting (1)
  • Useful (1)
Kuna watu unakaa não na kuskiliza mitihani walipotia na bado wanapitia lakini Wana imani na kusema Asante Mungu kwani umenichagua kupitia Hili na bado kusimama. Kuna wakati People work so hard sometimes kufanya mmoja aonekane mzuri huku mwengine aonekane Ana makosa kila wakati. Huwa Nasemaga kuwa Mda Na Ukweli huonyesha Hali halisi and one day naweza kuwa Hai au sipo Tena Duniani mtajifunza kitu kutoka kwenye situation Ya HUYU MAMA.,The End!
What do you think of this post?
  • Awesome (5)
  • Interesting (1)
  • Useful (1)

6 thoughts on “MAMA KANUMBA NAKUPONGEZA KWAKUWA BADO UMESIMAMA IMARA DESPITE MITIHANI..,

    1. INDEED SHE IS..,ALILIA SANA SIKU HII ALIKUWA NA MENGI KIFUANI SO TUNASHKURU ALIYAPUNGUZA BUT OFFCOZ BADO YEYE NDIO KAPOTEZA WATOTO WAWILI

  1. Umesema yote Nuru ahsante, Mungu azidi kuwabarikia kwa moyo wenu mzuri tunajifunza kitu mara nyingi mara nyingi naona mnapita kumsalimu na kumfariji mama Kanumba na familia yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *