KESHO YANGU PRESSCONFERENCE!!!

What do you think of this post?
  • Awesome (4)
  • Interesting (0)
  • Useful (0)
NAWACHEKESHA MAANA NILPANDA BAJAJ,BODABODA THEN UBER AISEE TRAFFIC ILIKUWA SIO YA DUNIA HII,KULIKUWA NA MSAFARA NJIA IMEFUNGWA NIKAWA SINA JINSI BUT HEY NILIFIKA HAHAHAH THINGS WE GO THROUGH..
MY MOTHER WHO ALSO PLAYS A LEAD IN THE MOVIE IS ALSO THE PRODUCER OF KESHO YANGU.BEING A PRODUCER MEANS YOU FINANCE THE MOVIE AND PLAY A BIG ROLL IN THE FILMMAKING PROCESS SO FOR HER FIRST MOVIE SHE DID GOOD…
MAMA AMECHEZA LEAD CHARACTER KWENYE FILAMU HII KESHO YANGU LAKINI PIA NI PRODUCER WA HII FILAMU.KUWA PRODUCER KWENYE FILAMU INAMAANA WEWE NDIO UMETOA HELA ILI MOVIE IWEZE KUTENGENEZWA NA UNAHUSIKA KWENYE KILA PROCESS YA UTENGENEZAJI WA FILAM SO KWAKUWA ILIKUWA MARA YAKE YA KWANZA AMEJITAHIDI MNOO KWANI SCRIPT NA WAHUSIKA WAMEITENDEA HAKI KESHO YANGU.
What do you think of this post?
  • Awesome (4)
  • Interesting (0)
  • Useful (0)

2 thoughts on “KESHO YANGU PRESSCONFERENCE!!!

  1. Usinkumbushe mbali nuru 😂🤣😂🤣 mara ya kwanza kupanda boda boda ilikuwa 2014 na bajaji  2012  weee??? Niliomba Miungu yoote ya dunia kha! Kisa hizo hizo foleni na misfara isokwisha. Hongerah sana mama dearest hakika wewe ni mfano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *