GIVE AWAY 2019,TUMEANZA!!

What do you think of this post?
 • Useful (6)
 • Awesome (4)
 • Interesting (2)
NEW DRESS I HAVE NEVER WORN IT,DROP A COMMENT IF YOU ARE INTERESTED…
GAUNI NI JIPYA KABISA SIJAWAHI LIVAA SO ANDIKA KOMENT KAMA UTAIPENDA NA SIZE NI S NA MEDIUM MAANA MIMI IMENIPWAYA..,
What do you think of this post?
 • Useful (6)
 • Awesome (4)
 • Interesting (2)

9 thoughts on “GIVE AWAY 2019,TUMEANZA!!

 1. Nitafurahi nikipata gauni hili as it will be a gift from my admire (i love your life) ntalivaa special occasions only na litakuwa linanipa confidence as yours

 2. This dress is so beautifully detailed with bold colours, leather stripe and see through lace  material. All these would look so chic on a plus size/ apple shaped  lady like me.
  And since it’s  coming from you, I will be so honoured to have it because I have been admiring you for so long. 
  I love your sense of style, your graceful attitude, your smile, your creativity and generosity. 
  You are indeed a high maintenance lady and for that I will forever cherish that dress as the most valuable outfit in my wardrobe. 
  With love, your humble Admirer Dorothy. 
   

 3. Aya jaman wale wenye size s na medium pls changamkieni fursa iooooooo
  😋😋😋😋😋😋😘😘😘😘😘☺️ 
  Dress n nzr sana my dia but kwa mie no mana mie ni chi…chi..chibonge 😅😅😅😅 
  Love it. 
  M nangoja zile raba zileeeeeee nyeupe peeeeee yan hata unavaa namba 10 mi nitaweka mavitambaa mpk kikae aiseeew sio kwa mpalo ule jmn. 
  Love u sweet da nuu

 4. Hello Nuru Tsup…!!
  Mimi ni binafsi naomba gauni hili kwasababu kwanza ni small kwa maana hiyo litanifiti, pili nimelipenda lilivo, tatu wewe ni mmoja kati ya watu na wapenda nadhani unajua haina haja ya kuelezea sana hivo nikilipata nitafurahi sana sana Na hii itakuwa  sio mwanzo naamini nitaaendelea kupata dhawadi nyingi na nzuri hahaha.
   

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *