FREE NATION#NEYWAMITEGO#NURUTHELIGHT!!!

What do you think of this post?
  • Awesome (7)
  • Interesting (3)
  • Useful (0)

WE CAME THROUGH AND VISITED FREE NATION!S RECORDING STUDIO AND MY FELLOW ARTIST THE OWNER EMMANUEL BETTER KNOWN AS NEY WA MITEGO.HIS STUDIO IS LOCATED IN SINZA AND HE WELCOMED US WITH OPEN ARMS.WELL DONE FOR THIS MR NAY!

Tulipita na kuitembelea Free Nation Studio inayomilikiwa na msanii Ney wa Mitego mitaa ya Sinza.Studio yake ni nzuri kajitahidi sana kwakweli na nilianza na kumchana kuhusu malezi ya watoto ndio chakwanza nililiamsha dude.Alinielewesha na tuliongea vizuri na kunipa mkasa wote wa ile situation ya Fey kumbe yule dada aliitunga haikuwa na kunionyesha mpaka msg za kutoka kwa huyo dada akimuomba msamaha kwa kumfanyia lile tukio na shilawadu,aisee hizi kiki enewai all in all alituonyesha eneo na tulieenjoy haswaa maana tulichekaje maana sisi tukikutanaga ni kucheka tu mwanzo mwisho.

What do you think of this post?
  • Awesome (7)
  • Interesting (3)
  • Useful (0)

4 thoughts on “FREE NATION#NEYWAMITEGO#NURUTHELIGHT!!!

  1. Hongera Nay kwa hatua hii kubwa sana na kwa kufanya mambo yako bila ya kelele nyingi, nakuombea Mungu akuongoze akusimamie vyema katika kazi ya mikono yako.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *