A National Tragedy That Could have Been Prevented!!!

Hii ilikuwa jana mpaka sasa namba imezidi maana jana walisitisha uokoaji kwasababu ya Giza…Zoezi lilianza tena Leo asubuhi. Ifike mda mjue kupaza sauti kwenye vitu vya maana.Majuzi mtoto wa Muna alivyofariki mlishupalia baba mtoto ni na i kitu ambacho hakiwanufaishi kwa lolote ila mlilidai as If yule mtoto mlimtolea hata senti tano.Mnaita wasanii wanafki kwani nyie mnatofauti gani? Leo Hii… More →