OH DEAR..,

What do you think of this post?
  • Awesome (2)
  • Interesting (1)
  • Useful (0)
SIJUI KAMA NI YEYE NDIO ALOPOST IF IT!S HIS REAL ACCOUNT THEN MEEN KWELI MDA HUONYESHA MENGI.
KAMA HUJATIZAMA INTERVIEW YA SHAMSA AKIONGELEA NDOA YAKE NA HUYU KAKA PLEASE DO,KWENYE ZAMARADI TV ON YOUTUBE.
KIUKWELI ALIONGEA YA NDANI MPAKA MWILI WANGU ULISISIMKA MAANA ALIMFANYIA VITU AMBAVYO HUTAKIWI KUMFANYIA MKE WAKO AU MTU WAKO PERIOD.HUYU DADA ALIJITOLEA SANA KWA MUMEWE DESPITE MNAWASEMAGA BONGO MOVIE ILA HUYU DADA ALIKUBALI NA KUBEBA KUWA MKE WA MTU.NIMEFURAHI KUONA DUNIA IMEMFUNZA NA KAONA YALE MKEWE ALOKUWA AKIMWAMBIA.
IT TAKES A SUDDEN MAN KUOMBA MSAMAHA AND FOR THAT YOU DID GOOD CHIDDY..,
What do you think of this post?
  • Awesome (2)
  • Interesting (1)
  • Useful (0)

3 thoughts on “OH DEAR..,

    1. Aisee ile interview huyu dada aliongelea yote nikajirecognize part moja kuna kidudu mtu alikuwa type hii yaani unaenda msema mkeo kwa watu,Reallly?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *