WE LIVE AND WE LEARN..,

What do you think of this post?
  • Useful (3)
  • Interesting (2)
  • Awesome (1)
KILA SIKU HUWA NASEMA KAMA UMEKAA NA A GROUP OF PEOPLE HALAFU WANAMUONGELEA MTU UONGO NA WEWE UNAJUA UKWELI HALAFU HUKUONGEA KUTETEA WALA NINI BASI WEWE NI MBAYA ZAIDI YA WALE WANAOONGEA.
UKIMYA WAKO NI KUKUBALIANA NA UWONGO UNAOONGELEWA KUHUSU MUHUSIKA POINT BLANK PERIOD.KUNA MARAFIKI WENGI SANA SIKO NAO LEO HII DUE TO THIS REASON NA ASIYEKUTETEA KWENYE UKWELI HUNA HAJA YAKUWANAYE MAISHANI MWAKO.
HUWA NASEMA HAKUNA KITU KIZURI DUNIANI KAMA KUMJUA ADUI YAKO,THE END.
What do you think of this post?
  • Useful (3)
  • Interesting (2)
  • Awesome (1)

One thought on “WE LIVE AND WE LEARN..,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *