What do you think of this post?
 • Awesome (1)
 • Interesting (0)
 • Useful (0)

What do you think of this post?
 • Awesome (1)
 • Interesting (0)
 • Useful (0)

7 thoughts on “

 1. @sosoano ukijiheshimu utaheshimiwa na heshma hiyo hiyo inaweza kutoweka ijapokuwa utajichanganya either kimahusiano au kiurafiki na watu wasiojiheshimu na ukawa muanga wa kutoheshimiwa. Heshma uchukua muda kujengeka ila inachukua sekunde tu! kubomoka…haijalishi umetumia muda gani kuijenga.

 2. mmmhhhh!!!!

  aiseee sijui ni nini kimempata huyu dada

  she was very famous na anaheshimika balaaa but now big no tu most watz wengi

   

 3. Utadhani na wengine picha hawapigagi na kukazania kuzipost, it’s her choice mwacheni. Kila shetani na mbuyu wake wa mwenzetu ni picha. Maamuzi yake yakiheshimiwa itakuwa mwake kiaina kama tunavyotetea ya kwetu.

 4. gosh this woman is addicted na picha, gosh everyday ni picha picha for no reason,huko offisini anafanya kazi kweli?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *