HAPPY VALENTINE!S DAY WHILE IN BAGAMOYO..,

What do you think of this post?
  • Awesome (6)
  • Interesting (3)
  • Useful (3)
BARUA YA UHURU/FREEDOM LETTER
MTUMWA WA MWISHO..,
MOVING ON TO NEXT LOCATION IN BAGAMOYO..,
KAMA UTAENDA TANZANIA AU HUWA UNAENDA TANZANIA NA HATA MNAOKAA TANZANIA BASI NENDENI BAGAMOYO KWENYE TOUR ZA SEHEM TOFAUTI ZA KIHISTORIA KWANI MTAJIFUNZA MENGI SANA KUHUSU NCHI NA WALIOTUTAWALA.NILIFURAHI KUWA NILIPATA GUIDE MZURI SANAA AMBAYE ALIWEZA NIELIMISHA KUHUSU MENGI.

BAGAMOYO HAS SO MUCH HISTORY AND HERITAGE TO A POINT THAT IT HURTS.I HIGHLY RECOMMEND IT FOR WHOMEVER WHOS VISITING TO PAY BAGAMOYO A VISIT WHILE IN TANZANIA..,
What do you think of this post?
  • Awesome (6)
  • Interesting (3)
  • Useful (3)

4 thoughts on “HAPPY VALENTINE!S DAY WHILE IN BAGAMOYO..,

  1. Happy Valentine’s day SHOGAREEEEE ❤❤ asante sana kwa ushauri asante pia kwa picha hakika Tanzania ni nchi nzuri na yenye historia ya karne na karne.

    1. Nnendeni na kwa mzaliwa it is so cheap imagine hapo ilikuwa buku mbili kwa mzaliwa na elf kumi au zaidi kwa wageni..,kuna vitu vingi sana vya kuona na pia kujifunza….I highly recommend It na tour guide mnaweza kunegotiate nae bei.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *