GIVE AWAY NUMBER 3..,

What do you think of this post?
 • Awesome (1)
 • Interesting (1)
 • Useful (0)
What do you think of this post?
 • Awesome (1)
 • Interesting (1)
 • Useful (0)

12 thoughts on “GIVE AWAY NUMBER 3..,

 1. Ingelikua mimi ndio Nuru hizi zawadi ningempa Dada hakuna hata siku moja anakosa kukomenti huku wengine mpaka tusikie kuna zawadi kuna mahaba kweli hapa mmmmmh

 2. Nuru mi nastahili kupata coz nimekuwa shabiki mkubwa wa blog yako tangu mwaka 2010. pia ni shabiki wa muziki wako tangu ulipotoa ngoma yako ya MSELA WANGU. naipenda sana ile nyimboย 

 3. Hahahhahahaha @dada umenifurahisha kwelikweli,ย 
  Da nuu m naomba white tu yan hata kama nitayabana na kuyabinya mpk itoshe i cant jmn uuuhhiiiii
   
  Pls sweetie,ย 

 4. Huu uonevu sasa dah? Nimetengwa hivi hivi uwiiiii… Mungu Baba nifinyange hiki kifua maana hizi ndala za Yanga zanikosesha vituuuz kutoka ulayaaaz ๐Ÿ˜

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *