WHILE AM BEING MICRONEEDLING BY ROSA BEAUTY..,

What do you think of this post?
 • Awesome (2)
 • Interesting (2)
 • Useful (2)
The procedure is called Microneedling which helps to boost up your skin and so much more.The Pen has 12 needles in it which penetrates your skin and stimulate so that you get rid of dead cells,pores,given you vitamins,minerals and within days gives you a new layer of a better skin.There is a lot of benefits that you get from Micro needling and I highly recommend it.
Microneedling ni procedure unafanya ambayo wanaanza kukusafisha uso wako halafu unawekewa ganzi suoni.Baada ya halo anachukua hiyo peni ambio ina sindano 12 ndani amabazo zinatasaidia kupenetrate ngozi yako na kuistimulate ili ianze kufanya kazi ya kutoa uchafu na pia kukupa vitamins na kuuwa dead cells.Baada ya siku kasha utaona unapt kama mabaka ambayo yatatoka na kutengeneza ngozi mpya.Treatment inachukua kama lisaa na kumalizia unawekewa a mask ambayo inasaidia kuipoza ngozi ili ile healing process ende ipasavyo.
What do you think of this post?
 • Awesome (2)
 • Interesting (2)
 • Useful (2)

5 thoughts on “WHILE AM BEING MICRONEEDLING BY ROSA BEAUTY..,

 1. Nuru,slow down here…hebu nielezee vizuri…umeandika haraka na kijuu juu tu…I need details and your face before and after pictures
   
  Ok now…start explaining

  1. Hhahaaah ningekurecommend uingie youtube n just type microneedling love ili uone the process mwanzo mwisho hakutaka nifilm sana so inakuwa ngumu kuexplain ila nilishafanya micro peeling and the results were amazing.I did this saturday laBDa usubiri kama wiki ndio ile ngozi ya juu inatoka sasa na ngozi mpya kuja..,wengine hubleed kidogo so kupiga picha after unaweza muogopesha mtu ila sindano zinachoma na kuuma kiasi.Ni kama facial ina inaenda deeper kwasababu wanapenetrate mpaka ndani ya ngozi kwa kutumia zile sindano kwenye hako ka kalamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *