LOU LOU..,

What do you think of this post?
 • Awesome (3)
 • Interesting (0)
 • Useful (0)
What do you think of this post?
 • Awesome (3)
 • Interesting (0)
 • Useful (0)

3 thoughts on “LOU LOU..,

 1. Honestly huu uchumba wa kitanzania qa kukaa uchumba two years mi hata siuelewi…I was engaged after her and now mi tumeshaoana ye bado majizzo anasubiri nini???…ni either we get married or we stay boy friend and girl friend mpaka pale you are ready to marry me…me I told my boy friend kuwa he will.only engage me when he think he is ready to marry me..sitaki kuvaa pete ya uchumba mwaka mzima…so he engaged me in Feb and was married in May…no time to waste

  1. Hello Milka well Sometimes au many times nahisi na naona watu mnajiengage na vitu visivyowahusu ntafafanua nachomaanisha…,
   Kama wewe umeshakamilisha then good for you na hongera mpenzi kwa hilo but headache yake tumuachie mwenyewe, na kingine aolewe aisolewe it is really none of my business…watu wanaamua wao wanavyoona ni vyema juu ya maisha yao kama vile wewe umeempa ultimatum mtu wako na mkakubaliana so I think from me anyway i don’t really care wakae uchumba,ndoa au tu kwenye mahusiano coz mwisho wa siku hayo ni maisha yao..,Tuheshim tu maamuzi ya wengine hata kama kuna wengine ambao hawakubaliani nayo…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *