EH MUNGU…,SAD!!

What do you think of this post?
  • Interesting (1)
  • Awesome (0)
  • Useful (0)
KAMA NITAKUJA KUOLEWA NINACHOMUOMBA MUNGU NI KUNIPA MTU SAHIHI,NA SIO TU MUME BALI HATA WALIONIZUNGUKA WAWE SAHIHI.WENGI WENU MNALALA KITANDA KIMOJA NA MAADUI ZENU THINKING NI WAPENZI WENU ILA HAPANA.KUNA VITU NI VIGUMU KUVIMEZA ILA DUNIANI SIO KILA UNAYESHARE NAE KITANDA ANAKUPENDA KIHIVYO,WENGINE NI WAPITA NJIA TU AU WANA MASLAHI YAO.SIJAJUA NYUMA YA HII STORY KUELEWA KAMA KULIKUWA NA TATIZO AMA TATIZO LILIKUWA NI NINI, BUT HATA KAMA KUMUUA MKEO AU MUMEO HILO KAMWE HALIWEZI KUWA SAHIHI..,
WANAWAKE MSIPENDE NDOA KIASI KWAMBA MKAONA MAISHA YENU HAYANA THAMANI NA KADHALIKA KWA WANAUME.NA WAZAZI NA NYIE MNACHANGIA SANA WATOTO WENU KUULIWA HALAFU MNALIA KILIONI WAKATI ULIMWAMBIA BINTI YAKO RUDI KWA MUMEO,SASA WEW UNA HAKI YA KUMLILIA KWELI MTOTO ULOMPELEKA KWA MUUWAJI BADALA YA KUMSKILIZA NA KUMSHIKA MKONO KUMTOA KWENYE JANGA?
ULALE PEMA MAMA KWANI MUNGU NDIO ANAJUA HISTORIA YENU.
What do you think of this post?
  • Interesting (1)
  • Awesome (0)
  • Useful (0)

3 thoughts on “EH MUNGU…,SAD!!

  1. YAANI AHSANTE SANA  UMESEMA YOTE NURU MAY HER SOUL REST IN PEACE , MPKA MTU UNAOGOPA KUOLEWA MUNGU ATUSAIDIE 

  2. Hivi baadhi ya hawa mangulule wanaojiamulia kukatisha maisha ya wanawake au wake zao nani aliewapa nguvu kiasi hiki? Mioyo inatukosea sana, tamaduni zinatudidimiza na familia hazitupi support pia heshma+ uoga wa kijinga wa kutii familia unatupeleka makaburi kabla ya siku, nd’o maana mimi nilijichukuliaga maamuzi bila ya kujali nani atasema nini and am happy now. Rip beautiful soul !

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *