CARPE DIEM,SEIZE THE MOMENT..,

What do you think of this post?
  • Interesting (9)
  • Awesome (5)
  • Useful (5)
ITS ALWAYS NICE AND CHALLENGING TO TRY NEW THINGS AND VENTURE..,
I GOT TO DECORATE A HOME THAT IS NOT MINE AND WAS GIVEN 100 PERCENT FREE HANDS SO I AM GOING TO REVEAL THE END RESULTS TOMORROW…
INTERIOR DESIGNING YOU NEED TIME AND ALOT OF CREATIVITY AND MOST IMPORTANTLY HOW TO WORK WITH WHAT YOU ARE GIVEN,THE SPACE.
BUDGET IS ONE THING BUT STUDY THE HOME THAT YOU ARE GOING TO DECORATE AND ITS NEEDS.AM GRATEFUL FOR THIS OPPORTUNITY BECAUSE I KNOW IT WAS VERY REWARDING TO DO THIS FOR MY SOUL AND LOVE FOR DECOR..,


NILIPATA KAZI YA KUIPAMBA AU SIJUI KUIPANGILIA NDIO KISWAHILI FASAHA NYUMBA YAANI A CLIENT.NILIPEWA MDA WA WIKI MBILI AMBAO NI MCHACHE SANA BUT NAJIJUA HUWA NAPENDA CHANGAMOTO ILA KAZI BADO ITAENDELEA ILI WAPATE FINISHING TOUCHES. KWAVILE ALIKUWA ANAHAMIA HUO MDA ALIPENDA ATLEAST AWE NA MAKAZI NA SIO TU NYUMBA, NA KESHO NDIO NITAONYESHA THE END RESULT.KWENYE SUALA LA KUIPANGILIA NYUMBA NI VIZURI KUJUA WATAOISHI HUMO NA MAHITAJI YAO HILO HUSAIDIA SANA KUJUA DIRECTION YA MPANGILIO WA VITU NA KADHALIKA.
MNAJUA MIMI NI MPENZI WA DECOR SO NILIKUWA KAMA MTOTO KWENYE DUKA LA PIPI AU CHOCOLATE,KESHO NAYO NI SIKU!!!
What do you think of this post?
  • Interesting (9)
  • Awesome (5)
  • Useful (5)

2 thoughts on “CARPE DIEM,SEIZE THE MOMENT..,

  1. All i see in these pics is passion and i must admit that the final result will turn out just waouh! Kudoz cool aunt you really are a multi talented human being 👌🏽👌🏽👏🏽👏🏽

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *