What do you think of this post?
  • Awesome (1)
  • Interesting (0)
  • Useful (0)
MAISHANI OMBA ALWAYS KUWA NA MAHUSIANO NA MTU AMBAE HATA MKIACHANA BASI ATAKUSTIRI.OMBA WALIOKUZUNGUKA SIKU UKIFARIKI BASI WAKUSTIRI UKIWA HAUPO DUNIANI TENA..
KUMBUKA MKOSAJI ASIYEKUBALI ALWAYS HUKIMBIA NAKUPIGA MAKELELE ILI APATE SYMPHATHY BUT ALL IN ALL MTU YOYOTE ATAKAYEKUFANYIA JAMBO BAYA ALWAYS JIULIZE WHY NOW.,
What do you think of this post?
  • Awesome (1)
  • Interesting (0)
  • Useful (0)

2 thoughts on “

  1. Wanaume wa dar mie hapana kwa kweli kha???  Naomba niishie hapa maana nimechefukwa vibaya mno…. Mbona baba zetu hawakuwa hivi???

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *