A National Tragedy That Could have Been Prevented!!!

What do you think of this post?
  • Interesting (3)
  • Useful (1)
  • Awesome (0)

Hii ilikuwa jana mpaka sasa namba imezidi maana jana walisitisha uokoaji kwasababu ya Giza…Zoezi lilianza tena Leo asubuhi.

Ifike mda mjue kupaza sauti kwenye vitu vya maana.Majuzi mtoto wa Muna alivyofariki mlishupalia baba mtoto ni na i kitu ambacho hakiwanufaishi kwa lolote ila mlilidai as If yule mtoto mlimtolea hata senti tano.Mnaita wasanii wanafki kwani nyie mnatofauti gani?

Leo Hii familia nyingi zimekumbwa na kulia mda huu lakini sioni umma kupaza sauti kwani hili sio janga la Taifa?

Hii Ajali ni uzembe wa vyombo vyetu vya usafiri ila Pia wananchi kutothamini maisha yenu kwa kukubali hili kuendelea..

Serikali Pia inachangia kwa kutokemea na kuchukua hatua na kuimarisha usalama wa wananchi wao.Tanzania mmekumbwa na nini,yaani mmekuwa Taifa la kutaka tu kujua nani ni nani,na nani anala na nani basiiii.Mmekuwa nchi na watu wa ajabu sana Kiasi sometimes nasemaga Nuru unaongea na nani,kwani kuwaelimisha ni mzigo sana na Hii mitandao ndio imewaharibu kupitiliza.Naskitika mpaka napata hasira kwani mnakaa kimya kwenye haya ila yasiowahusu mnayavalia na make up kabisa tena si wanaume wala wanawake wote mko mmekaa kiti kimoja.

What do you think of this post?
  • Interesting (3)
  • Useful (1)
  • Awesome (0)

2 thoughts on “A National Tragedy That Could have Been Prevented!!!

  1. Nimeshindwa kuelewa kama hakukuwa helikopta ya kuwapeleka jeshi la maji kusaidia kuokoa, si wangewapandisha bombadier wanayojisifia nayo walinunua cash au watasema hela hamna. Kweli wamesimamisha uokoaji kwasababu ya giza? Tz ya viwonder. Kweli umbea wanaupenda Kweli hii issue umekuwa underrated.

     

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *