MI CASA!!!

What do you think of this post?
  • Awesome (11)
  • Useful (6)
  • Interesting (4)

The table is custom made from a palmtree/Meza hii nimeitengenezesha na mbao kutoka kwenye Mnazi.Mezani My Sponsor The Nordic Vodka.

 

 

 

 

Since am an interior lover at heart and I like to post different homes and decor it was only fair that I do the same with my own home.I like clean lines,not alot of stuffs but I make sure that the detailing comes through no matter the decor.I still need some paintings on the wall and small stuff to finish off the look.Am very passionate about incorporating The west with my African Heritage.Here is a look or a glimpse of the decor for you to be Inspired by,Karibu!

Kwavile nimekuwa nikipost Nyumba na mpangilio wa nyumba nikaona sio vibaya na mimi muone kwangu palivyo.Mimi napenda sana interior design na nikaona msije mkawa mnasema oh huyu ukute kwake ni Majanga hahaha.Kumbuka kuwa hii ni mimi na watu tunatofautiana,binafsi napenda kwangu nisijaze makororo but details zionekane na pia napenda kuincoporate vitu vya Nyumbani in my Interior.Bado kazi haijaisha but baadae nitawaonyesha the end result,Karibuni.

What do you think of this post?
  • Awesome (11)
  • Useful (6)
  • Interesting (4)

2 thoughts on “MI CASA!!!

  1. Your casa is beautiful, simple, well organised and very welcoming… Yaani i see myself living in there with you??? well done Nuru wetu kwani kumiliki nyumba si mchezo.

  2. Hongera Nuru ,napenda nyumba safi jamani sio nyumba imejaa mizigo kila kona hata kufanya usafi mtu unaona  shidaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *