MAY YOU REST EASY MABALAMWEZI,RIP!!

What do you think of this post?
  • Awesome (0)
  • Interesting (0)
  • Useful (0)
MBALAMWEZI AMBAYE NI MMOJA WA KUNDI LA THE MAFIK AFARIKI DUNIA.KIFO CHAKE KINA MASWALI MENGI MAANA ALIPOTEA SIKU TATU NYUMA ZILIZOPITA NA KUTUPWA AKIWA BILA NA NGUO NA KUKUTWA NA RAIA NA KUMCHUKUA NA KUMPELEKA HOSPITALI AKIWA TAYARI KESHAFARIKI.BADO HAIJULIKANI NI KINA NANI,NA SABABU NI NINI.
THIS KID IS SO TALENTED ACHENI TUUU,UPUMZIKE SALAMA MBALAMWEZI KWANI SANAA IMEPOTEZA KIPAJI CHA UKWELI.
What do you think of this post?
  • Awesome (0)
  • Interesting (0)
  • Useful (0)